Enjoy - Jux/Diamond Platnumz.mp3

Enjoy - Jux/Diamond Platnumz.mp3
Enjoy-Jux/Diamond Platnumz (无损音质) 专享
[00:00.000] 作曲 : RAYMOND ...
[00:00.000] 作曲 : RAYMOND MAZIKU/Salmin Kasimu Maengo
[00:08.830]S2kizzy baby
[00:11.990]♪
[00:16.030]Hii leo
[00:18.580]Acha tu niwaweke wazi
[00:23.060]Mubaki na mishangao
[00:25.520]Kuhusu haya mapenzi
[00:27.770]Nataka kuvaeleza
[00:32.320]Na leo
[00:35.460]Tena wahiteni paparazi
[00:39.610]Warushe kwa mitandao
[00:42.070]Siyataki mapenzi
[00:43.930]Nataka jipongeza
[00:48.560]Unaemwita your baby
[00:50.660]Kumbe nae ana baby
[00:52.210]Ooh unaemwona kipenzi
[00:55.190]Ni mshenzi hakupendi
[00:57.030]Ama kweli mtihani
[00:59.120]Mambo mengi duniani
[01:00.670]Na mi stress siwezi
[01:02.620]Ooooh siwezi
[01:04.530]Aahh
[01:05.240]Bora ni Enjoy (Mmmmmh)
[01:08.630]Maisha mafupi ni simple
[01:12.890]Yanini niteseke roho
[01:16.600]Jiunge nami upoze koo
[01:21.590]Bora ni enjoy
[01:24.960]Maisha mafupi ni simple
[01:28.960]Yanini niteseke roho (Ooh yanini yanini)
[01:33.030]Jiunge nami upoze koo (Mmmh khoo khoo khoo khoo)
[01:38.640]Kama kupendaaa
[01:41.440]Bora nimpende mama yangu (Mmmh)
[01:46.320]Kama kupendwaa mimii
[01:50.070]Nitajipenda peke yangu (Ooooh)
[01:54.280]Kilichoniponza ufalaaa
[01:58.200]Kujiona simba kumbe swalaaa
[02:02.440]Kazama kwenye penzi uchwalaaa
[02:06.000]Badala ya kusaka miamalaaa
[02:09.680]Ail yoooo oh
[02:10.960]Toka ni date pesa (Enhee)
[02:13.270]Sa napendeza (Enhee)
[02:15.180]Na tena naenjoy (Enhee)
[02:17.530]Na wanangu ma homeboy (Enhee)
[02:19.100]Ooooh account inasoma (Enhee)
[02:21.530]Na kamwili kananona (Enhee)
[02:23.500]We mwenyewe si unaona yani (Enhee)
[02:26.230]Ai nasema boraaaa
[02:27.830]Bora ni Enjoy (Kwiri pi pi pi pi pi pi)
[02:31.340]Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka)
[02:35.540]Yanini niteseke roho
[02:37.410](Yanini niteseke rohoo)
[02:39.460]Jiunge nami upoze koo
[02:41.880](Jiunge na mimi ah)
[02:44.360]Bora ni Enioy (Kwiri pi pi pi pi pi pi)
[02:47.990]Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka)
[02:51.970]Yanini niteseke roho (Aaahh iveeeeiii ve)
[02:56.250]Jiunge nami upoze koo (Jiunge na mimi ah)
[03:00.880]Napenda nikilewa
[03:02.640]Nipande juu va meza
[03:05.620]Minjonjo
[03:06.520]Huku natema kingereza
[03:09.180]Tupande juu ya meza
[03:11.070]Tupande juu ya meza
[03:12.940]Tupande juu ya meza
[03:14.660]Za za za za za
[03:17.850]Bora ni Enjoy (Kwiri pi pi pi pi pi pi)
[03:20.840]Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka)
[03:25.200]Yanini niteseke roho (Ooh yanini yanini)
[03:29.360]Jiunge nami upoze koo (Ooh khoo khoo khoo khoo)
[03:33.210]Kamix Lizer
[03:35.970]♪
展开